Amosi 5:23-24
Amosi 5:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Ondoeni mbele yangu kelele za nyimbo zenu! Sitaki kusikiliza muziki wa vinubi vyenu! Lakini acheni haki itiririke kama maji, uadilifu uwe kama mto usiokauka.
Shirikisha
Soma Amosi 5Amosi 5:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Niondoleeni kelele za nyimbo zenu; kwa maana sitaki kuzisikia sauti za vinanda vyenu. Lakini hukumu na iteremke kama maji, na haki kama maji makuu.
Shirikisha
Soma Amosi 5Amosi 5:23-24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Niondoleeni kelele za nyimbo zenu; kwa maana sitaki kuzisikia sauti za vinanda vyenu. Lakini hukumu na itelemke kama maji, na haki kama maji makuu.
Shirikisha
Soma Amosi 5