Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 22:30

Matendo 22:30 NEN

Kesho yake, kwa kuwa yule jemadari alitaka kujua hakika kwa nini Paulo alikuwa anashutumiwa na Wayahudi, alimfungua, na akawaagiza viongozi wa makuhani na baraza lote likutane. Kisha akamleta Paulo, akamsimamisha mbele yao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 22:30