Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Petro 3:10-11

2 Petro 3:10-11 NEN

Lakini siku ya Bwana itakuja kama mwizi. Ndipo mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu; navyo vitu vya asili vitateketezwa kwa moto, nayo dunia na kila kitu kilichomo ndani yake kitaunguzwa. Kwa kuwa vitu vyote vitaharibiwa namna hii, je, ninyi imewapasa kuwa watu wa namna gani? Inawapasa kuishi maisha matakatifu na ya kumcha Mungu

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Petro 3:10-11