Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 13:5-9

2 Wakorintho 13:5-9 NEN

Jichunguzeni wenyewe mwone kama mnaishi katika imani. Jipimeni wenyewe. Je, hamtambui ya kuwa Yesu Kristo yumo ndani yenu? Kama sivyo, basi, mmeshindwa kufikia kipimo hicho! Natumaini mtaona kuwa sisi hatukushindwa. Lakini tunamwomba Mungu msije mkatenda kosa lolote, si ili sisi tuonekane kuwa tumeshinda hilo jaribio, bali ili ninyi mtende lililo haki, hata kama tutaonekana kuwa tumeshindwa. Kwa maana hatuwezi kufanya lolote kinyume na kweli, bali kuithibitisha kweli tu. Tunafurahi wakati wowote sisi tunapokuwa dhaifu, lakini ninyi mkawa na nguvu. Nayo maombi yetu ni kwamba mpate kuwa wakamilifu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 13:5-9