Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 10:3-6

2 Wakorintho 10:3-6 NEN

Ingawa tunaishi duniani, hatupigani vita kama ulimwengu ufanyavyo. Silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome, tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu, na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo, tena tukiwa tayari kuadhibu kila tendo la kutotii, kutii kwenu kutakapokamilika.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 10:3-6