Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 22:1-2

1 Samweli 22:1-2 NEN

Daudi akaondoka Gathi na kukimbilia kwenye pango la Adulamu. Ndugu zake na watu wa nyumba ya baba yake waliposikia habari hiyo, wakamwendea huko. Wale wote waliokuwa katika dhiki au waliokuwa na madeni au wale ambao hawakuridhika wakamkusanyikia Daudi, naye akawa kiongozi wao. Watu wapatao 400 walikuwa pamoja naye.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samweli 22:1-2