Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 21:12-13

1 Samweli 21:12-13 NEN

Daudi akayaweka maneno haya moyoni naye akamwogopa sana Akishi mfalme wa Gathi. Basi akajifanya mwendawazimu mbele yao; naye alipokuwa mikononi mwao, alitenda kama kichaa, akikwaruza kwa kutia alama juu ya milango ya lango na kuachia udelele kutiririka kwenye ndevu zake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samweli 21:12-13