Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 2:3-6

1 Yohana 2:3-6 NEN

Basi katika hili twajua ya kuwa tumemjua, tukizishika amri zake. Mtu yeyote asemaye kuwa, “Ninamjua,” lakini hazishiki amri zake, ni mwongo, wala ndani ya mtu huyo hamna kweli. Lakini mtu yeyote anayelitii neno lake, upendo wa Mungu umekamilika ndani yake kweli kweli. Katika hili twajua kuwa tumo ndani yake. Yeyote anayesema anakaa ndani yake hana budi kuenenda kama Yesu alivyoenenda.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohana 2:3-6