Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 16:3-4

1 Wakorintho 16:3-4 NENO

Kwa hiyo nitakapowasili, nitawapa wale mtakaowachagua barua za kuwatambulisha, ili kuwatuma wapeleke zawadi zenu huko Yerusalemu. Ikionekana ni vyema na mimi niende, basi hao watu watafuatana nami.