1 Wakorintho 16:3-4
1 Wakorintho 16:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati nitakapokuja kwenu, nitawatuma wale mtakaowachagua miongoni mwenu wapeleke barua na zawadi zenu Yerusalemu. Kama itafaa nami niende, basi, watakwenda pamoja nami.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 161 Wakorintho 16:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nami nitakapofika nitawatuma kwa barua wale mtakaowachagua, wachukue hisani yenu mpaka Yerusalemu. Na kama ikifaa niende na mimi, watasafiri pamoja nami.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 16