Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 10:23-24

1 Wakorintho 10:23-24 NEN

“Vitu vyote ni halali,” lakini si vitu vyote vilivyo na faida. “Vitu vyote ni halali,” lakini si vyote vinavyojenga. Mtu yeyote asitafute yaliyo yake mwenyewe, bali kila mtu atafute yale yanayowafaa wengine.