1 Wakorintho 10:23-24
1 Wakorintho 10:23-24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vifaavyo. Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vijengavyo. Mtu asitafute faida yake mwenyewe, bali ya mwenzake.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 101 Wakorintho 10:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Vitu vyote ni halali, lakini si vyote vinafaa. Vitu vyote ni halali lakini si vyote vinajenga. Mtu asitafute faida yake mwenyewe, ila faida ya mwenzake.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 10