Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Nyakati 29:11

1 Nyakati 29:11 NEN

Ukuu na uweza, ni vyako, Ee BWANA, na utukufu na enzi na uzuri, kwa kuwa kila kilichoko mbinguni na duniani ni chako wewe. Ee BWANA, ufalme ni wako; umetukuzwa kuwa mkuu juu ya yote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Nyakati 29:11