1 Mambo ya Nyakati 29:11
1 Mambo ya Nyakati 29:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Ukuu ni wako, ee Mwenyezi-Mungu, una nguvu, utukufu, ushindi na enzi. Vyote vilivyoko mbinguni na duniani ni vyako. Ee Mwenyezi-Mungu, ufalme ni wako, nawe umetukuzwa, u mkuu juu ya vitu vyote.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 291 Mambo ya Nyakati 29:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, ukuu ni wako, na uweza, na utukufu, na ushindi, na enzi; maana vitu vyote vilivyo mbinguni na duniani ni vyako; ufalme ni wako, Ee BWANA, nawe umetukuzwa, u mkuu juu ya vitu vyote.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 291 Mambo ya Nyakati 29:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee BWANA, ukuu ni wako, na uweza, na utukufu, na kushinda, na enzi; maana vitu vyote vilivyo mbinguni na duniani ni vyako; ufalme ni wako, Ee BWANA, nawe umetukuzwa, u mkuu juu ya vitu vyote.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 29