Ndipo, Roho alipomwambia Filipo: Haya! Lijongelee gari hili, ulifuatefuate! Filipo akamwendea mbio, akamsikia, alivyokisoma kitabu cha mfumbuaji Yesaya; alipomwuliza: Unayatambua, unayoyasoma? akasema: Nitawezaje, mtu asiponiongoza? akambembeleza Filipo, apande, akae pamoja naye.