1
Mathayo 21:22
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Yoyote mtakayoyaomba mkisali na mkiamini, mtayapokea.”
Linganisha
Chunguza Mathayo 21:22
2
Mathayo 21:21
Isa akawajibu, “Amin, nawaambia, mkiwa na imani wala msiwe na shaka, si kwamba mtaweza kufanya tu yale yaliyofanyika kwa huu mtini, bali hata mkiuambia huu mlima, ‘Ng’oka, ukatupwe baharini,’ litafanyika.
Chunguza Mathayo 21:21
3
Mathayo 21:9
Wale umati wa watu waliomtangulia na wale waliomfuata wakapaza sauti na kusema, “Hosana, Mwana wa Daudi!” “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Mwenyezi Mungu!” “Hosana juu mbinguni!”
Chunguza Mathayo 21:9
4
Mathayo 21:13
Akawaambia, “Imeandikwa, ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala,’ lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi.”
Chunguza Mathayo 21:13
5
Mathayo 21:5
“Mwambieni Binti Sayuni, ‘Tazama, mfalme wako anakuja kwako, ni mpole, naye amepanda punda, juu ya mwana-punda, mtoto wa punda.’”
Chunguza Mathayo 21:5
6
Mathayo 21:42
Isa akawaambia, “Je, hamjasoma katika Maandiko kwamba: “ ‘Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. Mwenyezi Mungu ndiye alitenda jambo hili, nalo ni la kushangaza machoni petu’?
Chunguza Mathayo 21:42
7
Mathayo 21:43
“Kwa hiyo ninawaambia, ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa watu wengine wawezao kuzaa matunda yake.
Chunguza Mathayo 21:43
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video