Mathayo 21:13
Mathayo 21:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Akawaambia, “Imeandikwa katika Maandiko Matakatifu: ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala.’ Lakini nyinyi mmeifanya kuwa pango la wanyanganyi.”
Shirikisha
Soma Mathayo 21Mathayo 21:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akawaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi.
Shirikisha
Soma Mathayo 21