Mathayo 21:5
Mathayo 21:5 Biblia Habari Njema (BHN)
“Uambieni mji wa Siyoni: Tazama, Mfalme wako anakujia! Ni mpole na amepanda punda, mwanapunda, mtoto wa punda.”
Shirikisha
Soma Mathayo 21Mathayo 21:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwambieni binti Sayuni Tazama, mfalme wako anakuja kwako, Mpole, naye amepanda punda, Na mwanapunda, mtoto wa punda.
Shirikisha
Soma Mathayo 21