1
Mwanzo 18:14
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Je, kuna jambo lolote gumu lisilowezekana kwa Mwenyezi Mungu? Nitakurudia majira kama haya mwaka ujao, naye Sara atakuwa na mwana.”
Linganisha
Chunguza Mwanzo 18:14
2
Mwanzo 18:12
Hivyo Sara akacheka kimoyomoyo alipokuwa akiwaza, “Baada ya mimi kuwa mkongwe hivi na bwana wangu amezeeka, je, nitaweza kufurahia jambo hili?”
Chunguza Mwanzo 18:12
3
Mwanzo 18:18
Hakika Ibrahimu atakuwa taifa kubwa na lenye nguvu, na kupitia kwake mataifa yote ya dunia yatabarikiwa.
Chunguza Mwanzo 18:18
4
Mwanzo 18:23-24
Ibrahimu akamsogelea, akasema: “Je, utawaangamiza wenye haki na waovu? Je, ikiwa watakuwepo watu hamsini wenye haki katika mji huo, kweli utauangamiza na wala hutauacha kwa ajili ya hao watu hamsini wenye haki waliomo?
Chunguza Mwanzo 18:23-24
5
Mwanzo 18:26
Mwenyezi Mungu akajibu, “Nikipata watu hamsini wenye haki katika mji wa Sodoma, nitauacha huo mji wote kwa ajili yao.”
Chunguza Mwanzo 18:26
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video