Mwanzo 18:26
Mwanzo 18:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Nikikuta watu wema hamsini kule mjini Sodoma, basi nitauacha mji wote salama kwa ajili yao.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 18Mwanzo 18:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akasema, Nikiona katika Sodoma wenye haki hamsini mjini, nitapaacha mahali pote kwa ajili yao.
Shirikisha
Soma Mwanzo 18