Mwanzo 18:14
Mwanzo 18:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, kuna jambo lolote lisilowezekana kwa Mwenyezi-Mungu? Nitakurudia wakati uliopangwa, wakati kama huu mwakani, na Sara atakuwa na mtoto wa kiume.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 18Mwanzo 18:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA? Kwa muhula wake nitakurudia, wakati huu huu mwakani, na Sara atapata mwana wa kiume.
Shirikisha
Soma Mwanzo 18