1
Zaburi 116:1-2
Swahili Revised Union Version
Haleluya. Nampenda BWANA kwa kuwa anaisikiliza Sauti yangu na dua zangu. Kwa maana amenitegea sikio lake, Kwa hiyo nitamwita siku zangu zote.
Linganisha
Chunguza Zaburi 116:1-2
2
Zaburi 116:5
BWANA ni mwenye neema na haki, Naam, Mungu wetu ni mwenye rehema.
Chunguza Zaburi 116:5
3
Zaburi 116:15
Kifo cha waaminifu wa Mungu, kina thamani machoni pa BWANA.
Chunguza Zaburi 116:15
4
Zaburi 116:8-9
Maana umeniponya nafsi yangu na mauti, Macho yangu na machozi, Na miguu yangu na kuanguka. Nitaenenda mbele za BWANA Katika nchi za walio hai.
Chunguza Zaburi 116:8-9
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video