1
Kumbukumbu la Torati 15:10
Swahili Revised Union Version
Mpe kwa kweli, wala moyo wako usisikitike utakapompa; kwa kuwa atakubarikia BWANA, Mungu wako, kwa neno hili katika kazi yako yote, na katika kila utakalotia mkono wako.
Linganisha
Chunguza Kumbukumbu la Torati 15:10
2
Kumbukumbu la Torati 15:11
Kwa maana maskini hawatakoma katika nchi milele; ndipo ninakuamuru na kukuambia, Mfumbulie kwa kweli mkono wako nduguyo, mhitaji wako, maskini wako, katika nchi yako.
Chunguza Kumbukumbu la Torati 15:11
3
Kumbukumbu la Torati 15:6
Kwani BWANA, Mungu wako, atakubarikia, kama alivyokuahidi; nawe utakopesha mataifa mengi, lakini hutakopa; tena utayatawala mataifa mengi, usitawaliwe na wao.
Chunguza Kumbukumbu la Torati 15:6
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video