Kumbukumbu la Sheria 15:6
Kumbukumbu la Sheria 15:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawabariki kama vile alivyowaahidi. Nanyi mtayakopesha mataifa mengi, lakini nyinyi hamtakopa. Kadhalika mtatawala mataifa mengi, lakini mataifa hayo hayatawatawala nyinyi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 15Kumbukumbu la Sheria 15:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwani BWANA, Mungu wako, atakubarikia, kama alivyokuahidi; nawe utakopesha mataifa mengi, lakini hutakopa; tena utayatawala mataifa mengi, usitawaliwe na wao.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 15