Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 15:6

Kumbukumbu la Sheria 15:6 BHN

Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawabariki kama vile alivyowaahidi. Nanyi mtayakopesha mataifa mengi, lakini nyinyi hamtakopa. Kadhalika mtatawala mataifa mengi, lakini mataifa hayo hayatawatawala nyinyi.

Video for Kumbukumbu la Sheria 15:6