Kumbukumbu la Sheria 15:10
Kumbukumbu la Sheria 15:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mpeni ndugu maskini kwa ukarimu bila kunungunika; maana kwa ajili ya hayo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawabariki katika kazi zenu zote na katika kila mfanyalo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 15Kumbukumbu la Sheria 15:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mpe kwa kweli, wala moyo wako usisikitike utakapompa; kwa kuwa atakubarikia BWANA, Mungu wako, kwa neno hili katika kazi yako yote, na katika kila utakalotia mkono wako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 15