1
2 The 2:3
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yo yote; maana haiji, usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa yule mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu
Linganisha
Chunguza 2 The 2:3
2
2 The 2:13
Lakini imetupasa sisi kumshukuru Mungu sikuzote kwa ajili yenu, ndugu mliopendwa na Bwana, kwa kuwa Mungu amewachagua tangu mwanzo mpate wokovu, katika kutakaswa na Roho, na kuiamini kweli
Chunguza 2 The 2:13
3
2 The 2:4
yule mpingamizi, ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu ama kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu, akijionyesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu.
Chunguza 2 The 2:4
4
2 The 2:16-17
Na Bwana wetu Yesu Kristo mwenyewe, na Mungu Baba yetu, aliyetupenda akatupa faraja ya milele na tumaini jema, katika neema, awafariji mioyo yenu, na kuwafanya imara katika kila neno na tendo jema.
Chunguza 2 The 2:16-17
5
2 The 2:11
Kwa hiyo Mungu awaletea nguvu ya upotevu, wauamini uongo
Chunguza 2 The 2:11
6
2 The 2:9-10
yule ambaye kuja kwake ni kwa mfano wa kutenda kwake Shetani, kwa uwezo wote, na ishara na ajabu za uongo; na katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea; kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokolewa.
Chunguza 2 The 2:9-10
7
2 The 2:7
Maana ile siri ya kuasi hivi sasa inatenda kazi; lakini yuko azuiaye sasa, hata atakapoondolewa.
Chunguza 2 The 2:7
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video