2 Wathesalonike 2:13
2 Wathesalonike 2:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Tunapaswa kumshukuru Mungu daima kwa ajili yenu nyinyi ndugu, nyinyi mnaopendwa na Bwana, kwa maana Mungu amewateua tangu mwanzo mpate kuokolewa kwa nguvu ya Roho, mfanywe watu wake watakatifu kwa imani yenu katika ukweli.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 22 Wathesalonike 2:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini imetupasa sisi kumshukuru Mungu sikuzote kwa ajili yenu, ndugu mliopendwa na Bwana, kwa kuwa Mungu amewachagua tangu mwanzo mpate wokovu, katika kutakaswa na Roho, na kuiamini kweli
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 2