2 Wathesalonike 2:3
2 Wathesalonike 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Msikubali kudanganywa na mtu yeyote kwa namna yoyote ile. Maana siku hiyo haitakuja mpaka kwanza ule uasi utokee na yule Mwovu aonekane, ambaye mwisho wake ni kuangamizwa kabisa.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 22 Wathesalonike 2:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yoyote; maana haiji, usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa yule mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 2