1
Zaburi 95:6-7
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Njooni, tusujudu, tumwabudu, tupige magoti mbele za Mwenyezi Mungu Muumba wetu, kwa maana yeye ndiye Mungu wetu, na sisi ni watu wa malisho yake, kondoo chini ya utunzaji wake.
Linganisha
Chunguza Zaburi 95:6-7
2
Zaburi 95:1-2
Njooni, tumwimbie Mwenyezi Mungu kwa furaha; tumfanyie kelele za shangwe Mwamba wa wokovu wetu. Tuje mbele zake kwa shukrani, tumtukuze kwa vinanda na nyimbo.
Chunguza Zaburi 95:1-2
3
Zaburi 95:3
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni Mungu mkuu, mfalme mkuu juu ya miungu yote.
Chunguza Zaburi 95:3
4
Zaburi 95:4
Mkononi mwake mna vilindi vya dunia, na vilele vya milima ni mali yake.
Chunguza Zaburi 95:4
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video