1
Zaburi 13:5
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Lakini ninategemea upendo wako usiokoma; moyo wangu unashangilia katika wokovu wako.
Linganisha
Chunguza Zaburi 13:5
2
Zaburi 13:6
Nitamwimbia BWANA, kwa kuwa amekuwa mwema kwangu.
Chunguza Zaburi 13:6
3
Zaburi 13:1
Hadi lini, Ee BWANA? Je, utanisahau milele? Utanificha uso wako hadi lini?
Chunguza Zaburi 13:1
4
Zaburi 13:2
Nitapambana na mawazo yangu hadi lini, na kila siku kuwa na majonzi moyoni mwangu? Adui zangu watanishinda hadi lini?
Chunguza Zaburi 13:2
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video