1
Zaburi 116:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
Ninampenda BWANA kwa maana amesikia sauti yangu; amesikia kilio changu ili anihurumie. Kwa sababu amenitegea sikio lake, nitamwita siku zote za maisha yangu.
Linganisha
Chunguza Zaburi 116:1-2
2
Zaburi 116:5
BWANA ni mwenye neema na haki, Mungu wetu ni mwingi wa huruma.
Chunguza Zaburi 116:5
3
Zaburi 116:15
Kifo cha watakatifu kina thamani machoni pa BWANA.
Chunguza Zaburi 116:15
4
Zaburi 116:8-9
Kwa kuwa wewe, Ee BWANA, umeniokoa nafsi yangu na mauti, macho yangu kutokana na machozi, miguu yangu kutokana na kujikwaa, ili niweze kutembea mbele za BWANA, katika nchi ya walio hai.
Chunguza Zaburi 116:8-9
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video