1
Mithali 31:30
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kujipamba ili kuvutia ni udanganyifu, na uzuri unapita upesi; bali mwanamke anayemcha Mwenyezi Mungu atasifiwa.
Linganisha
Chunguza Mithali 31:30
2
Mithali 31:25-26
Amevikwa nguvu na heshima, anaweza kucheka bila kuwa na hofu kwa siku zijazo. Huzungumza kwa hekima, na mafundisho ya kuaminika yapo ulimini mwake.
Chunguza Mithali 31:25-26
3
Mithali 31:20
Huwanyooshea maskini mikono yake na kuwakunjulia wahitaji vitanga vyake.
Chunguza Mithali 31:20
4
Mithali 31:10
Mke mwenye sifa nzuri, ni nani awezaye kumpata? Yeye ni wa thamani sana kuliko marijani.
Chunguza Mithali 31:10
5
Mithali 31:31
Mpe thawabu anayostahili, nazo kazi zake na zimletee sifa kwenye lango la mji.
Chunguza Mithali 31:31
6
Mithali 31:28
Watoto wake huamka na kumwita aliyebarikiwa, mumewe pia humsifu, akisema
Chunguza Mithali 31:28
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video