Methali 31:30
Methali 31:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Madaha huhadaa na uzuri haufai, bali mwanamke amchaye Mwenyezi-Mungu atasifiwa.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:30 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.
Shirikisha
Soma Methali 31