1
Mithali 1:7-8
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kumcha Mwenyezi Mungu ni chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyaache mafundisho ya mama yako.
Linganisha
Chunguza Mithali 1:7-8
2
Mithali 1:32-33
Kwa kuwa ukaidi wa wajinga utawaua, na kuridhika kwa wajinga kutawaangamiza. Lakini yeyote anisikilizaye ataishi kwa usalama, atatulia, bila kuwa na hofu ya madhara.”
Chunguza Mithali 1:32-33
3
Mithali 1:5
wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao, wenye kupambanua na wapate mwongozo
Chunguza Mithali 1:5
4
Mithali 1:10
Mwanangu, wenye dhambi wakikushawishi, usikubaliane nao.
Chunguza Mithali 1:10
5
Mithali 1:1-4
Mithali za Sulemani mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli: Kwa kupata hekima na nidhamu; kwa kufahamu maneno ya busara; kwa kujipatia nidhamu na busara, kufanya lililo sawa, haki na bila kupendelea; huwapa busara wajinga, maarifa na akili kwa vijana
Chunguza Mithali 1:1-4
6
Mithali 1:28-29
“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu; watanitafuta lakini hawatanipata. Kwa kuwa walichukia maarifa, wala hawakuchagua kumcha Mwenyezi Mungu
Chunguza Mithali 1:28-29
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video