1
Nahumu 1:7
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mwenyezi Mungu ni Mwema, kimbilio wakati wa taabu. Huwatunza wale wanaomtegemea
Linganisha
Chunguza Nahumu 1:7
2
Nahumu 1:3
Mwenyezi Mungu si mwepesi wa hasira naye ni mwenye nguvu, Mwenyezi Mungu hataacha kuadhibu wenye hatia. Njia yake ipo katika kisulisuli na tufani, na mawingu ni vumbi la miguu yake.
Chunguza Nahumu 1:3
3
Nahumu 1:2
Mwenyezi Mungu ni mwenye wivu na Mungu mlipiza kisasi; Mwenyezi Mungu hulipiza kisasi na amejaa ghadhabu. Mwenyezi Mungu hulipiza kisasi juu ya watesi wake, naye anadumisha ghadhabu yake dhidi ya adui zake.
Chunguza Nahumu 1:2
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video