Nahumu 1:7
Nahumu 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ni mwema, yeye ni ngome ya usalama wakati wa taabu. Yeye huwalinda wote wanaokimbilia usalama kwake.
Shirikisha
Soma Nahumu 1Nahumu 1:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ni mwema, ni ngome siku ya taabu; naye huwajua hao wamkimbiliao.
Shirikisha
Soma Nahumu 1Nahumu 1:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA ni mwema, ni ngome siku ya taabu; naye huwajua hao wamkimbiliao.
Shirikisha
Soma Nahumu 1