Nahumu 1:3
Nahumu 1:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu hakasiriki upesi, lakini amejaa nguvu, Mwenyezi-Mungu kamwe hatawaachilia wenye hatia. Apitapo Mwenyezi-Mungu, huzuka kimbunga na dhoruba; mawingu ni vumbi litimuliwalo na nyayo zake.
Shirikisha
Soma Nahumu 1Nahumu 1:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA si mwepesi wa hasira, ana uweza mwingi, wala hatamhesabia mtu mwovu kuwa hana hatia kamwe; BWANA ana njia yake katika kisulisuli na tufani, na mawingu ni mavumbi ya miguu yake.
Shirikisha
Soma Nahumu 1