1
Yoshua 21:45
Neno: Bibilia Takatifu
Hakuna hata mojawapo ya ahadi nzuri ya BWANA kwa nyumba ya Israeli ambayo haikutimia; kila moja ilitimia.
Linganisha
Chunguza Yoshua 21:45
2
Yoshua 21:44
BWANA akawapa pumziko kila upande, kama vile alivyokuwa amewaapia baba zao, hakuna hata mmoja wa adui zao aliyeweza kusimama mbele yao, BWANA akawatia adui zao wote mikononi mwao.
Chunguza Yoshua 21:44
3
Yoshua 21:43
Kwa hiyo BWANA akawapa Israeli nchi yote aliyokuwa ameapa kuwapa baba zao, nao wakaimiliki na kukaa humo.
Chunguza Yoshua 21:43
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video