Yoshua 21:44
Yoshua 21:44 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akawapa amani kila mahali nchini kama alivyowaapia wazee wao. Hakuna adui yeyote aliyethubutu kuwakabili kwani Mwenyezi-Mungu alikuwa amewatia adui hao mikononi mwao.
Shirikisha
Soma Yoshua 21Yoshua 21:44 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha BWANA akawapa raha pande zote, sawasawa na hayo yote aliyokuwa amewaapia baba zao; wala katika adui zao wote hakusimama hata mtu mmoja miongoni mwao mbele zao; yeye BWANA akawatia adui zao wote mikononi mwao.
Shirikisha
Soma Yoshua 21Yoshua 21:44 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Yoshua 21