Yoshua 21:43
Yoshua 21:43 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa hiyo BWANA akawapa Israeli nchi yote aliyokuwa ameapa kuwapa baba zao, nao wakaimiliki na kukaa humo.
Shirikisha
Soma Yoshua 21Yoshua 21:43 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mwenyezi-Mungu aliwapa Waisraeli nchi yote ambayo alikuwa amewaahidi wazee wao. Nao wakaimiliki na kuishi humo.
Shirikisha
Soma Yoshua 21