1
Isaya 19:25
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni atawabariki, akisema, “Baraka iwe kwa Misri watu wangu, kwa Ashuru kazi ya mikono yangu, na kwa Israeli urithi wangu.”
Linganisha
Chunguza Isaya 19:25
2
Isaya 19:20
Itakuwa alama na ushahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni katika nchi ya Misri. Watakapomlilia Mwenyezi Mungu kwa sababu ya watesi wao, Mungu atawapelekea mwokozi na mtetezi, naye atawaokoa.
Chunguza Isaya 19:20
3
Isaya 19:1
Neno la unabii kuhusu Misri: Tazama, Mwenyezi Mungu amepanda juu ya wingu liendalo kwa haraka naye anakuja Misri. Sanamu za Misri zinatetemeka mbele yake, nayo mioyo ya Wamisri inayeyuka ndani yao.
Chunguza Isaya 19:1
4
Isaya 19:19
Katika siku hiyo patakuwa na madhabahu ya Mwenyezi Mungu katikati ya Misri na mnara wa kumbukumbu kwa Mwenyezi Mungu kwenye mpaka wa Misri.
Chunguza Isaya 19:19
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video