Isaya 19:19
Isaya 19:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku hiyo, kutakuwa na madhabahu kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu katikati ya nchi ya Misri, na nguzo iliyowekwa wakfu kwa Mungu kwenye mpaka wa Misri.
Shirikisha
Soma Isaya 19Isaya 19:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika siku hiyo itakuwako madhabahu katika nchi ya Misri kwa BWANA, na nguzo mpakani mwake kwa BWANA.
Shirikisha
Soma Isaya 19