Isaya 19:1
Isaya 19:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kauli ya Mungu dhidi ya nchi ya Misri. “Mwenyezi-Mungu amepanda juu ya wingu liendalo kasi na kuja mpaka nchi ya Misri. Sanamu za miungu ya Wamisri zitatetemeka mbele yake, mioyo ya Wamisri itayeyuka kwa hofu.
Shirikisha
Soma Isaya 19Isaya 19:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ufunuo juu ya Misri. Tazama, BWANA amepanda juu ya wingu jepesi, anafika Misri; na sanamu za Misri zinatikisika mbele zake, na moyo wa Misri unayeyuka ndani yake.
Shirikisha
Soma Isaya 19