1
Kumbukumbu 20:4
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, ndiye huenda pamoja nanyi kuwapigania dhidi ya adui zenu na kuwapatia ushindi.”
Linganisha
Chunguza Kumbukumbu 20:4
2
Kumbukumbu 20:1
Mtakapoenda vitani kupigana na adui zenu na mkaona farasi na magari ya vita na jeshi kubwa kuliko lenu, msiwaogope, kwa sababu Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, aliyewatoa kutoka Misri, atakuwa pamoja nanyi.
Chunguza Kumbukumbu 20:1
3
Kumbukumbu 20:3
Atasema: “Sikia, ee Israeli, leo unaenda vitani kupigana na adui zako. Usife moyo wala usiogope, usitishwe wala usitiwe hofu mbele yao.
Chunguza Kumbukumbu 20:3
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video