Kumbukumbu la Sheria 20:3
Kumbukumbu la Sheria 20:3 Biblia Habari Njema (BHN)
‘Watu wa Israeli sikilizeni! Leo mnakaribia kupigana dhidi ya adui zenu. Msife moyo, au kuogopa, au kutishika, au kuwaogopa adui
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 20Kumbukumbu la Sheria 20:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
awaambie, Sikilizeni, enyi Israeli, hivi leo mwasongea mapiganoni juu ya adui zenu mioyo yenu na isizime; msiche, wala msiteteme, wala msiingiwe na hofu kwa ajili ya wao
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 20