1
Amosi 2:6
Neno: Bibilia Takatifu
Hili ndilo asemalo BWANA: “Kwa dhambi tatu za Israeli, hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. Wanawauza wenye haki kwa fedha, na maskini kwa jozi ya viatu.
Linganisha
Chunguza Amosi 2:6
2
Amosi 2:4
Hili ndilo asemalo BWANA: “Kwa dhambi tatu za Yuda, hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. Kwa sababu wameikataa sheria ya BWANA na hawakuzishika amri zake, kwa sababu wamepotoshwa na miungu ya uongo, miungu ambayo babu zao waliifuata.
Chunguza Amosi 2:4
3
Amosi 2:7
Wanakanyaga juu ya vichwa vya maskini, kama vile juu ya mavumbi ya nchi, na kukataa haki kwa walioonewa. Baba na mwanawe hushiriki msichana mmoja, kwa hivyo hulinajisi Jina langu takatifu.
Chunguza Amosi 2:7
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video