Amosi 2:7
Amosi 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Huwanyanyasa na kuwakandamiza wanyonge, na maskini huwabagua wasipate haki zao. Mtu na baba yake hulala na mjakazi yuleyule, hivyo hulitia unajisi jina langu takatifu.
Shirikisha
Soma Amosi 2Amosi 2:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nao hukanyaga vichwa vya maskini katika mavumbi ya nchi na kuwasukuma walioteseka kutoka kwa njia yao; na mtu na baba yake wanamwendea mwanamke mmoja, na kulitia unajisi jina langu takatifu
Shirikisha
Soma Amosi 2