1
Matendo 13:2-3
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Walipokuwa wakimwabudu Mwenyezi Mungu na kufunga, Roho Mtakatifu wa Mungu akasema, “Nitengeeni Sauli na Barnaba kwa kazi niliyowaitia.” Ndipo baada ya kufunga na kuomba, wakawawekea mikono yao na wakawatuma waende zao.
Linganisha
Chunguza Matendo 13:2-3
2
Matendo 13:39
Kupitia yeye, kila mtu amwaminiye anahesabiwa haki kwa kila kitu ambacho asingeweza kuhesabiwa haki kwa Torati ya Musa.
Chunguza Matendo 13:39
3
Matendo 13:47
Kwa maana hili ndilo Mwenyezi Mungu alilotuamuru: “ ‘Nimewafanya ninyi kuwa nuru kwa watu wa Mataifa, ili mpate kuuleta wokovu hadi miisho ya dunia.’”
Chunguza Matendo 13:47
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video