1
1 Samweli 8:7
Neno: Bibilia Takatifu
Naye BWANA akamwambia: “Sikiliza yale yote watu wanakuambia. Si wewe ambaye wamekukataa, bali wamenikataa mimi kuwa mfalme wao.
Linganisha
Chunguza 1 Samweli 8:7
2
1 Samweli 8:8
Kama vile walivyofanya tangu siku nilipowapandisha kutoka Misri mpaka siku hii ya leo; wakiniacha mimi na kutumikia miungu mingine, ndivyo wanavyokufanyia wewe.
Chunguza 1 Samweli 8:8
3
1 Samweli 8:5-6
Wakamwambia, “Wewe umekuwa mzee, nao wanao hawaenendi katika njia zako, sasa tuteulie mfalme wa kutuongoza, kama ilivyo kwa mataifa mengine yote.” Lakini wao waliposema, “Tupe mfalme wa kutuongoza,” hili lilimchukiza Samweli, hivyo akamwomba BWANA.
Chunguza 1 Samweli 8:5-6
4
1 Samweli 8:19
Lakini watu wakakataa kumsikiliza Samweli wakasema, “Hapana! Tunataka mfalme wa kututawala.
Chunguza 1 Samweli 8:19
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video